Jifunze Kiswahili uwafunze na wengine
HATUTAKIWI tuwe wachoyo tunapojifunza lugha. Kile tunachofahamu tuwamegee na wengine ili kuwasaidia kuwa bora zaidi. Labda yafaa nitoe mfano uliotokea hivi karibuni huko Uingereza. Wabunge wa Bunge la Uingereza ambao ni weledi wa lugha ya Kiingereza hawaridhi... More »